Wednesday, 26 August 2015

Asante Sana Diamond Platnumz kwa kunikutanisha na Neyo.. "Sheddy Clever"


http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/08/sheddy.jpg 

"sikuwai kuwaza katika maisha yangu kama nitakuja kukutana na Neyo na kufanya nae kazi. Nawashukuru saana Uongozi mzima wa @wcb_wasafi @sallam_sk @babutale @diamondplatnumz kwakunipa nafasi hii Mungu awabariki saaana yani natamani hata mashabiki zangu muweze kusikia kazi hii japo kidogo tu lakini ndio haiwezekani kwa sasa. @diamondplatnumz Ft @neyo

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment