Sunday, 5 July 2015

Diamond kuchuana na Wizkid , Tiwa Savage na wengine katika kuwania tuzo za Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA)


Hit maker wa ‘Nana’ Diamond Platnumz ameendelea kuiwakilisha vizuri Tanzania katika muziki na anazidi kutajwa kuwania tuzo mbalimbali barani Afrika, akiwa ni miongoni mwa wanamuziki wanaowania tuzo za MAMA zitakazotolewa mwezi huu, Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Uganda zijulikanazo kama Uganda Entertainment Awards 2015 (UEA)

UEA-1

Diamond anawania kipengele cha Best African Act, akichuana na waimbaji wengine kutoka afrika, WizKid (Nigeria), Patorankong (Nigeria), Tiwa Savage (Nigeria) na Active.

Tuzo Hizo Zinatarajiwa Kutolewa Septemba 4, 2015 katika Hoteli ya Munyonyo CommonWealth Resort (Speke Ball) jijini Kampala, Uganda 


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment