Sunday, 14 June 2015

Mabeste Aomba radhi Kwa Kile Alichokisema Mke wake kuhusu ushindi wa Jux kwenye KTMA…

Baada ya Mkewe  Kumshutuma Mwanamuziki JUMA JUX kwa Kutokutoa Shukrani kwa Mabeste ambae  alitunga wimbo wa sisikii uliyochukua Tuzo ya Kill Music ...Mabeste  Naye Aliingia Mtandaoni na kuandika Haya Hapa chini:

Wandugu wote mnajua mke  wangu ana tatizo la kisaikolojia...hayupo katika hali yake ya kawaida  kama vile zamani bado anaendelea na matibabu ya  kisaikolojia....alichokiandika naeza sema ni moja psychological disease  aliyo nayo....na awali nilishasema akipata habari mbaya ndivyo anavyokua  ana over react na hata kupelekea kuzimia au kukakamaa mwili....habari  za KTMA alikua hazijui Leo tu kaangalia Tv kaona...then akawa  disappointed akachange ghafla hata time hii ka change ka kakamaa na  ikimtokea hiyo hali anakua kama MTU mwenye kifafa so hapa nilipo bado  Nina deal na hii situation maana inamchukua mda sana Ku recover! Naomba  msimuhukum wala msicomment chochote kibaya kwa page yake we all know  hayuko sawa! Hii ndio sababu uwa sikai mbali nae nahakikisha mda wote  Niko nae hakuna anaye eza mhandle zaidi yangu! Bahati mbaya sikua karibu  nae nilisindikiza wageni!! Normally hana tabia hiyo ila anashindwa  control temper coz tayari yuko affected ... Sikatai kakosea ila pia  muelewe hayuko sawa kisaikolojia na nilishasema haya before! Nimepata  wakati mgum pia maana anacho Ki face nakijua Mimi tu.pia nawaomba  msamaha kwa niaba yake na yeyote aliye ghadhafika juu ya hili...na mimi  ndio niliyefuta ile post kwa page yake @juma_jux'


FOLLOW US ON

Baada ya Mkewe Kumshutuma Mwanamuziki JUMA JUX kwa Kutokutoa Shukrani kwa Mabeste ambae alitunga wimbo wa sisikii uliyochukua Tuzo ya Kill Music ...Mabeste Naye Aliingia Mtandaoni na kuandika Haya Hapa chini:

No comments:

Post a Comment