Wednesday 10 June 2015

Diamond Avunja Rekodi Youtube, Video ya ‘Nana’ ft Mr Flavour yavuka views milioni 1 ndani ya siku 12!


Video ya ‘Nana’ ya Diamond f/Flavour yavuka views milioni 1 ndani ya siku 12!
Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye Youtube.


Hadi Jumatano hii, Nana imefikisha views 1,013,350 (views zinaongezeka kwa kasi).

“One million Plus Views on Youtube! In just 10 days…kwakweli nawashkuru sana kwa Mapenzi yenu emoji.. OyA! #Sankoro Kama Ronaldo,” ameandika Diamond kwenye Instagram kusherehekea mafanikio hayo.



FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment