Wednesday, 20 May 2015

Wizkid - Expensive Shit (Official video)


Baada ya kuachia single yake mpya ya ‘Expensive Sh*t’, staa wa Nigeria Wizkid ametoa video ya wimbo wake mpya tayari.

Ojuelegba bado ni hit kuanzia mtaani, redioni na kwenye TV kubwa Afrika na nje pia, kaamua kuiachia hii nyingine bila kuchelewa.

Unaweza kuona baadhi ya pichaz za video hiyo pamoja na video yenyewe baada ya kazi yote kukamilishwa na Director Sesan ndani ya Afrika Kusini.

wz
wz4
wz5
wz6
wz7
wz8

FOLLOW US ON


No comments:

Post a Comment