Sunday 24 May 2015

Picha na Video: Show ya Diamond Platnumz aliyo ifanya jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo

Nasib Abdul aka Diamond Platnumz msanii wa Tanzania ambaye anapendwa na watu wa kilarika, Usiku wa kuamkia leo alikuwa jijini Mwanza kwenye show iliyo andaliwa na Jembe FM iliyo enda kwa jina la Jembeka-Festival.

 Watu wa jijini Mwanza walionyesha mapenzi yao kwa Diamond hasa pale walipokuwa tayari wamesha jaza uwanja umesha jaa kabla ya muda wa show kama inavyo onyesha kwenye video hapo juu.

Kwa mapenzi kwa mashabiki wake Diamond akaamua kuwapa show ya kwanza kisha kuelekea kwenye hotel aliyo fikia kabla ya kuwapa show yenyewe usiku wa kuamki leo.

Tizama picha zaidi hapo chini.










Na Hii Ndio Video Yake 

credit : Tubongetz


FOLLOW US ON


No comments:

Post a Comment