
Ndani ya Siku chache zijazo Superstar Kutoka Nigeria Wizkid Anatarajia Kuachia Jiwe la moto au Track aliyoipa jina la Expensive Shit chini ya producer Sarz.wakati tukisubiri hiyo pia tunategemea soon Wizkid anatarajia kuachia ngoma na mkali mwingine toka mbele maarufu kama Chriss brown
furahia kipande hiki na toa maoni yako HAPA
No comments:
Post a Comment