Sunday 31 May 2015

Baada Ya Fast 7, Sasa Tunaambiwa Na Terehe Ya Fast 8 Kabisa Iko Hapa....!


Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8 ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April mwaka 2017.

It has already been confirmed that Dwayne “The Rock” Johnson will reprise his role as Luke Hobbs in the ‘Furious 7’ sequel and James Wan is reportedly eyed to return as director for the eighth instalment of the movie franchise.

No comments:

Post a Comment