
Rapper Fid Q ameelezea changamoto alizozipitia wakati anaanza Muziki na Ugumu alioupitia mpka kurekodi ngoma yake ya kwanza kabisa ambayo ilimtambulisha katika muziki ilijulikana kama Huyu na Yule, Track hiyo alifanya katika Studio ya MJ Records ambayo inamilikiwa na Mastre Jay.
Msikilize Fid Q akielezea Ugumu aliopitia kukamilisha track hiyo.
No comments:
Post a Comment