Omary Ramsey
The Infortaiment Site
Sunday, 12 April 2015
Diamond Platnumz feat Usher Raymond!
Diamond Platnumz
is unstoppable! Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa
Marekani
japo hakuwahi kumtaja, lakini sasa tunaweza kuwa na ubashiri sahihi!
Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha
360
cha
Clouds TV
leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya
Afrika
anayependa kufanya naye kazi.
Diamond
alidai kuwa tayari msanii anayemkubali zaidi nchini
Marekani
ameshafanya naye kazi japo hakupenda kumtaja tena.
Aliombwa amtaje msanii mwingine tofauti na huyo na kusema wasanii watano anaowapenda zaidi nchini
Marekani
ni
Nicki Minaj
,
Chris Brown
na
Usher Raymond
na kwamba mmoja kati ya hao tayari ameshafanya naye ngoma!
Kwamujibu wa mtandao wa
Bongo 5
wao wame bashiri kuwa kwakuwa inafahamika
Diamond Platnumz
anamkubali
Usher Raymond
basi inawezekana atakuwa ndiye msanii waliye fanya naye kazi hiyo.
Unaweza ku bashiri na wewe na uandike maoni yako kwa mfumo wa
Blogger
au
facebook
hapo chini.
FOLLOW US ON
FOLLOW US ON
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
No comments:
Post a Comment