Saturday 10 January 2015

Stosh, Stamina & Stereo Ft Mr Blue - Kaa Mbali (Audio) coming soon

Wasanii wa muziki wa Hip Hop Tzee, Stereo ,Stamina na Stosh wameungana kutengeneza ngoma ya pamoja itwayo  KAA MBALI ambayo wamemshirikisha  Mr.Bluee . Ngoma hiyo imafanyika katika Studio ya Kiri Recod chini ya Producer Rash Don . so Stay Tune kwa  bonge la Joint .

FOLLOW US ON


No comments:

Post a Comment