Picha Za Utengenezwaji wa Video Mpya Ya Belle 9 "Viamin Music"
Belle 9 sasa hivi yupo busy kuandaa Video yake ya Vitamin Music ft Joh Makini na ndani ya video hii Young Dee ndani ya kichupa, Mchekeshaji maarufu "Joti Mdebwedo" ataonekana pia kwenye video hii ambayo imepigwa ndani ya mazingira ya Hospitali.
No comments:
Post a Comment