Wednesday 14 January 2015

Kalapina Ft Ommy Dimpoz - Good Time (Audio) coming Soon


Msanii mkongwe kwenye gem la Hip hop Kalapina anatarajia kuachia ngoma yake ya Good time aliyomshirikisha ommy dimpoz iliyofanywa katika studio za jalaman studio na amesema ataonyesha mapinduzi katika gemu hivyo amewaomba mashabiki mkae mkao wa kula kuipoke ngoma yake baada ya kimya kirefu kwenye gem La Mziki

FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment