Tuesday, 27 January 2015

Hizi ndio Gharama za video Mpya ya "Tiririka" ya Adam Mchomvu


Mtangazaji wa Clouds Fm ambae pia ni msanii wa kizazi kipya Adam Mchomvu, usiku wa jana,tarehe 25/01/2015 maeneo ya club billz alikua akiizindua video yake mpya iitwayo "Tiririka"

Video hiyo iliyo ongozwa na director mdogo Hanscana mara baada ya kuizindua video hiyo aliulizwa gharama za video hiyo na akasema ametumia pesa zisizo pungua millioni.huyu hapa


FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment