Baada ya vijana kutoka maeneo tofauti jijini Dar es salaam wanaofahamika kama Panya road kuharibu amani ya jiji Januari 2 2014, pamekuwa na stori nyingi kuhusu vijana hawa na mambo wanayofanya. Huyu msanii ameingia studio kufanya wimbo kuhusu panya road.
No comments:
Post a Comment