Friday 23 January 2015

Diamond, Mwana FA na Alikiba waongoza chart ya Mkito ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi


Diamond Platnumz, Mwana FA na Alikiba ndio wasanii ambao nyimbo zao zimepakuliwa zaidi kwenye mtandao wa Mkito. 
Hizi ni nyimbo 10 zilizoongoza kwenye orodha hiyo ya nyimbo 100 zilizopakuliwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mtandao huo.

1.Diamond Platnumz – Ntampata Wapi
2.Mwana FA Ft AliKiba – Kiboko Yangu
3.Yamoto Band – Ntakupwelepweta
4.Alikiba – Mwana
5.Joh Makini - XO
6.Young Killer Ft Fid Q - 13
7.Vanessa & Barnaba - Siri
8.Yamoto Band - Niseme
9.Roma - Mwanakondoo
10.Diamond Platnumz - Kisa 

FOLLOW US ON


No comments:

Post a Comment