Mbunifu wa mavazi aliyejipatia umaarufu kupitia mitindo ya single  button blazers na Kwachukwachu, Martin Kadinda anatarajia kuzindua  collection mpya ya mavazi katika onyesho la Swahili fashion week. 
Kadinda amesema collection yake itabebwa na viatu vyake mwenyewe  ambavyo ni vya kiume. Amesema anaamini kuna wabunifu walioamtangulia  katika suala la ubunifu ila yeye ameboresha na kuzidisha nakshi ili  kuweza kushinda soko la viatu Tanzania.
   
 
No comments:
Post a Comment