Ommy Dimpoz na Diamond wakipeana mkono wa kheri
Nyota
wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Diamond Platinum na Ommy
Dimpoz wametajwa kuwania tuzo za muziki za nchini Uganda ziitwazo HiPipo
Music Awards (HMA) 2015 zinazotarajiwa kutolewa rasmi February 07,
2015.
Diamond na Dimpoz watachuana katika
kipengele kimoja cha ‘East Africa Super Hit’ kupitia nymbo zao
Ndagushima na Number One original.
Katika kipengele hicho wakali hao watachuana na Sauti Sol, Jaguar, Eddy Kenzo, Baramushaka, Urban Boys na Bebe Cool.
No comments:
Post a Comment