Friday 5 December 2014

Baada ya Vitamin Music, Hiki kitu kingine kutoka kwa Belle 9


Belle 9 sasa hiviana album mbili  pamoja na mix tape Vitamin music anatarajia kuidondosha mwishoni mwa mwezi huu 
Itafanyika mi tape inaitwa no rapper no mc no singer then itafuata album ya tatu ambayo ataipa jinala kitongoji kimoja mjini morogoro (boma road) hapa anaelezea kwanini anaiita jina hilo.

 "itaitwa boma road kuna mtaa unaitwa hivo then boma road ziko kila mkoa ni barabara ambayo inaelekea kwa mkuu wa mkoa sasa rockaTz ambayo nilirecord sumu ya penzi na pia ndo njia ambayo inaelekea sehemu ambayo alikuwa anaishi mona gangster mimi nilipotoka mtaani nilikutana na mtu ambaye anastudio mitaa ya boma road kule boma road kuna mtaa ulikuwa unaitwa riti, riti ndo sehemu ambayo alikuwa anaishi mona na pia studio ilikuwa iko karibu kwahiyo boma road ndo sehemu ambayo nilikuwa nakutana na ndoto zangu kwasababu mimi kabla sijarecord kurekodi nilikuwa sichukulii kama kitu chakawaida tu kwasababu before  sijarecod na Trice  pia nilikuwa kama mtu ambaye niko tu pale studio na ngoma zangu ila kunawasanii walikuwa wanakuja kurecord mimi nilihamia pale kama ambaye niko tu na trice anaweza kuniambia nikanune cd tumburnie mteja nachukua bike fasta napita boma road naenda town kuchukua cd narudi hata mchana ikitakiwa tule napita hapo hapo boma road nachukua kiepe then narudi kuna colabo kibao ambazo watu wanazijuwa nimesharecord na watu miaka hiyo kwahiyo boma road inanihusu yanijapo mimi ni mtoto wa mafiga kwetu mafiga na mafiga nilifanya hustle kibao lakini boma road ndo mwisho"



FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment