Sunday, 9 November 2014

Tarajia Kazi Mpya 'KIZUBANETA' Ivi Karibuni Kutoka Kwa Pah - One

IMG-20141101-WA0012
Baada ya kutoweka kwa mda kundi la wakali wa swagg PAH – ONE limerudi upya kwa kishindo leo nilipata mda wakuonana na vijana hawa ambao wanatarajia kukinukisha tena kwa kishindo nilianza na Ola ambaye alikuwa anamalizia kuandika track ambayo wanatarajia kufanya na msanii ambaye ni shida hapa mjini japo hawakuwa tayari kufunguka kumtaja nakubaki wakisema pole pole .
IMG-20141101-WA0021
 Kazi ambazo wanaweza kuziachia ni  KIZUBANETA & TURN UP hizi ni track ambazo zipo mlangoni kabisa alisema ola na mwenzake IGWEE…! alifunguka juu ya track ya KIZUBANETA nakusema ngoma imeisha na video imeisha ambayo video wamefanyia SOWETO nchini SOUTH AFRIKA pamoja na L-TODO 
IMG-20141101-WA0012
Tulimaliza mjadala kwa PAH- ONE kusema nw wanakuja zaidi ya Ebola so mashabiki wajiandae vizuri kwa swagg za mjini unaweza kufollow page zao Facebook @Pah one na Instagram @Official_pahone .

FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment