Saturday, 29 November 2014

Diamond Platnumz - Kizai Zai Remix (Audio)

Sikiliza Kizai zai Remix ambayo yumo Diamond peke yake ambayo ina mahadhi ya kama mduara/sebene flani hivi,
wimbo huu kama unakumbuka umefanywa remix na Lina lakini kwa hivi sasa kuna remix hii nyingine ambayo yupo diamond peke yake


FOLLOW US ON

No comments:

Post a Comment