Anaitwa Jane, mzaliwa wa Afrika Kusini na ni kutoka kampuni ya D&A iliyopo jijini Cape Town. Jane ameshafanya kazi kubwa mbalimbali za modeling kama fashion shows pamoja na kutokea kwenye majarida ya urembo mbalimbali ikiwemo lile kubwa la Maybelline la nchini Marekani.
Afrika Kusini kama kama nchi zingine zilizoendelea zinaichukulia kazi
umodel kwa uzito mkubwa na ndio maana ilimcost Rich Maviko mkwanja mrefu
kidogo kupata huduma za binti mrembo anayeonekana kwenye video ya
‘Pacha Wangu’.
Tazam picha zaidi hapa...
No comments:
Post a Comment