STARRING:-Jokate Mwengelo{Ndekwa},
OTHERS:-Jacob Steven @Jb{James},Richie Mtambalike{Richie},Hashim Kambi & Irene Uwoya{Aurelia}
STORY KWA UFUPI
Ni Filamu inayoelezea maisha ya Binti mdogo aitwaye Ndekwa aliyekulia kwenye maisha magumu kijijini,huku kiu na matamanio yake yakiwa ni kwenda kusomea mjini,alikokuwa akiishi aliyetambulishwa kwake awali kama kaka yake {James},jambo lililowekewa kizingiti kikubwa na baba yake japo juhudi zake binafsi zilitimiza ndoto yake hiyo kwa kuweza kufika mjini alipokuwa akiishi kaka yake,japo kile alichotarajia kiligeuka kuwa majuto makubwa kwa kuambatana na mikosi mingi hadi kufikia kuishia gerezani

Mikono Salama......wapi ni salama......kila niliposhika ni balaa......"eeeh MUNGU nisaidie.
NB-HII HAPA CHINI NI MOJA SCENE ZINAZOPATIKANA KWENYE FILAMU HII MPYA,

No comments:
Post a Comment