Wednesday, 1 October 2014

Diamond Platnumz ametajwa kuwania Tuzo nyingine za Kimataifa ‘THE HEADIES 2014’ nchini Nigeria.

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine za kimataifa zinazofahamika kama ‘THE HEADIES 2014’, ambazo ni tuzo kubwa nchini Nigeria.

Nasib Abdul ametajwa kuwania kipengele cha Msanii Bora wa Afrika (Best African Arstist) ambacho kinawaniwa na wasanii wa nje ya Nigeria. Katika kipengele hicho anashindana na Mafikizolo, Sarkodie na R2Bees.

Diamond1

headies

Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika October 25, 2014.
Wasanii wengine wa Nigeria waliotajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele tofauti ni pamoja na Davido, Wizkid, 2Face, Tiwa Savage, KCee, Burna Boy na wengine.
Ingia hapa kupata orodha kamil

JOIN US 


No comments:

Post a Comment