Diamond Platnumz amewabwaga Davido, Awilo Longomba,
Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda kipengele cha mtumbuizaji bora wa Afrika Best African Entertainer kwenye tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards)
It always seems impossible until its Done ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio nyimbo bora yenye Mahadhi
ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio Mburudishaji bora wa Mwaka
kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani 04|10|2014
Asanteni sana sana hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye nyingine
sasa" ameandika diamond ukurasa wa Instagram
No comments:
Post a Comment