Producer Lamar amerudisha tena mpango wa Refix Baada ya kimya kidogo, Na Hii ni kwa Ajili ya kuzipa ngoma za kibongo mzuka zaidi wa kuchezeka na kuleta ladha nyingine masikioni ambapo kwenye mfululizo wa utoaji wa hizo hit single, leo ametupa hii ya Shilole.
No comments:
Post a Comment