Thursday, 28 August 2014

Picha, Tip Top na TMK Waingia Studio Tena Kupika Mkwaju wa Pamoja



Baada ya kufanya vizuri na track ya Chama Kubwa ambayo iliwaunganisha Tiptop na TMK , kwa sasawameingia tena studio za Sound Craftaers chini ya Producer mkongwe Enrico na producer wa mkubwa na wanawe Shirko.

Muungano huo umepika Mkwaju wa hatari na unatarajiwa kuachiwa muda si mrefu endapo utakamilika, Track hiyo pia mdundo umeguswa na producer mpya anaejulikana kama Jobanjoo.



















No comments:

Post a Comment