Sunday 3 August 2014

Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya Show Me ya (Kid Ink Ft Chris Brown)


Kabla ya Kutoka na KAMWAMBIE na kisha kufuata na hits nyingi Mfululizo, Diamond alikuwa rapper. Na katika kuthibitisha kuwa bado anaweza kuchana, Himaker huyo ameitumia beat ya wimbo SHOW ME wa Kid Ink Ft Chris Brown Kwenye kipindi cha The Hitlist cha choice fm na kuwaacha watangazaji wa shoo hiyo midomo wazi
download hapa

No comments:

Post a Comment