Saturday 9 August 2014

Eti ! Eti Lakini ? Gere ya WEUSI Waliicopy Kwenye Ngoma Hii



Taarifa zilizohit kwenye mtandao zinadai kuwa eti Wimbo wa Kundi la Weusi unaitwa "Gere" eti Mdundo wake ni Copy ya wimbo wa Msanii wa HipHop kutoka Cleveland Marekani anayeitwa Machine Gun Kelly na wimbo wake unaitwa Peso amewashirikisha Ma rapa Meek Mill na Pusha T uliotoka mwanzoni mwa mwaka 2013 May 22
 Wimbo wa Gere umetoka mwaka huu 2014 January na kufanya vizuri kwenye chart za Radio mbalimbali sambamba na video ya ngoma hii pia imefanya vizuri pia.
Machine Gun Kelly 



WEUSI
Sikiliza Hapa Machine Gun Kelly akimshirikisha Pusha T na Meek Mill ngoma inaitwa "PESO"
PamoJa na WEUSI I GERE Zime Fanywa Mixed

No comments:

Post a Comment