Baraza la mitihani la taifa leo limetangaza matokeo ya Watahiniwa wa Kidato cha 6,kama ulifanya mtihani wa kidato cha 6 basi waweza cheki matokeo hayo hapa hapa kwa mtu wako wa nguvu.
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825
Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54
Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.
SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa
SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. MuhezaHigh School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaliua
10. Osward Mang'ombe
Kuona matokeo pitia hapa>>>http://www.necta.go.tz/matokeo2014/ACSEE.htm
NB:-MATOKEO KIDATO CHA 6: 95.98% wafaulu kidato cha 6 kutoka 87.9% mwaka jana. Tambaza Highschool ni moja kati ya shule 10 za mwisho,
K/Katibu Mtendaji Necta C. Msonde atangaza leo.

No comments:
Post a Comment