Mwanadada Vanessa Mdee ameachia pini jingine alilolipa jina la HAWA JUI,
Vanessa amesema wimbo huo umetengenezwa na Produced mkali kutoka Bongo
anaitwa NAHREEL. Vanessa Mdee amewaletewa ladha mpya ya Mchiriku.
HAWAJUI
Nahreel wussup wussup wussup wussup
VERSE 1
Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga
Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja
Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka
Kila siku beki leo kipa nimekudaka
BRIDGE
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa
CHORUS
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
VERSE 2
Choko choko ndiyo mambo mliozoea
Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah
Eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda
BRIDGE
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa
CHORUS
Hamjui tu nyie, alichonifunza Mama na na ndiyo maana hamuishi kutukana x2
We mwanadamu gani uliyekosa aibu
Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
Huishi Zogoa Zogoa
Kila Siku Zogoa Zogoa
Ukilala Zogoa Zogoa
Written by: Barnaba, Vanessa Mdee, Noel Mkono
Produced: Nahreel
No comments:
Post a Comment