Wednesday 11 June 2014

Makomando - Linah (Audio)

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiQbMwM0y0Jz_JBM1C6ihcWL-Lz91QBEpXmxc7gKa4bvPKSW3sUEX1QZzr5X7ARiC-79uICNmInaptdSCB81_AvUSmVXhqDb-AIiYPjK01OVYAx4qA1oJNbjgkQe6cN3OnvQPYyFsxG2a4/s1600/makomando-atwork1.jpg
Baada ya kutoa hit baada ya hit, Makomando wamejipanga upya na leo wamedondosha single yao mpya "Lina" iliyotengenezwa na producer Ema the boy kutoka THT.
Makomando wamemuimbia Lina, Msanii mwenzao kutoka THT ambao wanaonaoneka kumpenda tangu alipokuwa na Amini...wasikilize hapa chini


No comments:

Post a Comment