Thursday, 5 June 2014

Cpwaa kuzindua Video ya Chereko pamoja na wimbo mpya wa wadananda

Baada ya kuwasaini Wadananda kwenye lebo yake, Cpwaa anatarajia kuzindua video ya wimbo wake "Chereko" pamoja na wimbo mpya wa Wadananda ndani ya maisha Club 
 Uzinduzi wa video ya Chereko Chereko na utambulisho wa Wimbo mpya wa Wadananda. KWA   STAGE KITANUKISHWA NA | Dknob | Wakazi | Dullayo | Young Suma | Country Boy | Msami from THT | Papaa Masai | Gnex | Wadananda | Cpwaa | The Best of Kino vs The Chocolate Dancers| Maisha Club kwa kiingilio cha Buku 8000 tu! JUMAPILI HII!!

No comments:

Post a Comment