Wednesday, 14 May 2014

Black Rhyno ft.Ngwair & GodFather - Lookie Lookie (Audio)

IMG-20140513-WA0000(1)

Teknolijia bado inatumika hapa kashirikishwa Albert Mangwea inawezekana wimbo wa zamani ila umechelewa kutoka,ni wimbo wa Black Rhyno kamshirikisha Albert Mangwea na GoodFather unaitwa Lookie Lookie,endelea kuwa karibu na omaryramsey utafahamu namna wimbo huu ulivyorekodiwa.
Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment