Msanii Mabeste anatarajia kuzindua Documentary itakayoonyesha maisha
yake halisi, kuanzia wapi aliptoka, hustle alizopitia mpaka wapi
anapoelekea kwa sasa.
"Ducumentary hiyo mpaka sasa ina dakika zaidi ya 40, na nitakuwa
nikiizindua kwa episod, so episod ya kwanza nitaizingua pale Billcanas
jumapili hii, na nitaendela na episod zingine katika kumbi zingine." amesema Mabeste.
Kwasababu maisha hayasimami yanaendelea na matukio tunakutana nyo kila
siku, so documentary hii itaendelea ku-rekodiwa kadri siku zinavyozidi
kuendelea, na siku hiyo sitakuwa peke yangu, bali nitakuwa na Country
Boy, Queen Darlin, Stamina, Suma Mnazaleti, Deddy, Leo, MRap na
wengineo", Aliendelea kusema Mabeste.
No comments:
Post a Comment