Gwiji wa klabu ya Chelsea Didier Drogba jana usiku alirudi nyumbani
Stamford Bridge lakini safari akicheza dhidi ya timu iliyompa umaarufu
mkubwa duniani Chelsea akiitumikia Galatasary. Katika
mchezo huo wa jana ambao Chelsea walishinda 2-0 na kufuzu kucheza robo
fainali ya Champions League, lakini kabla ya mchezo huo kuanza klabu ya
Chelsea iliamua kumtunukia Drogba zawadi ya kiatu cha silver chenye
rangi ya bluu kwa ndani. Zawadi ya kiatu aliyopewa Didier Drogba na Chelsea
No comments:
Post a Comment