| MSANII 
"AMINI" YUKO LOCATION KWA SASA AKIKAMILISHA VIDEO YA SINGO YAKE MPYA 
"NOVEMBER/DECEMBER",SINGO ILIYOTENGENEZWA KWA USIMAMIZI WA PRODUCER 
MDOGO "IMMA THE BOY",WAKATI KICHUPA CHA SINGO HIYO KINAPIKWA NA"THE 
DREAMS STUDIO".NA HIZI NI BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA KWENYE MISHEMISHE 
ZA UCHUKUAJI VIDEO HIYO, | 
No comments:
Post a Comment