Wiki chache zilizopita, Davido alifikisha Followers Million 1 na kama 
shukrani kwa mashabiki yake aliamua kumlipia ada ya shule kwa mwanafunzi
 mmoja aliyetaka kwenda kusoma Uingereza.
Wasanii wanapopata Followers wengi kwenye mitandao ya kijamii ni ishara 
ya kuwa Kazi zao zinawafikia watu wengi na inaonesha wanauwezo mkubwa wa
 ushawishi.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya




No comments:
Post a Comment