Saturday 5 September 2015

Video ya mpya ‘Ya moto band’ yagharimu milioni 30

VIDEO mpya ya ‘Cheza Kimadoido’ ya kundi la muziki wa kizazi kipya ‘Ya moto Band’ imegharimu zaidi ya Sh milioni 30 za Tanzania.

Meneja mkuu wa kundi hilo lenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, Saidi Fella, alisema video hiyo imeandaliwa na kampuni ya Godfather nchini Afrika Kusini na gharama hiyo ndiyo iliyoleta ubora wa video hiyo anayoamini itafanya vizuri kimataifa.



Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment