Thursday 3 September 2015

Will Smith kucheza Role ya Mnigeria kwenye filamu mpya ya Hollywood, Itazame trailer yake hapa


Muigizaji wa Hollywood Will smith amevaa uhusika wa Kinaija kwenye filamu mpya “Concussion” itakayotoka mwezi December mwaka huu.

Will Smith ameigiza kama Daktari wa Kinigeria ambayo ni story ya kweli ya Maisha ya Bennet Ifekandu Omalu mmarekani mwenye asili ya nigeria aliyegundua ugonjwa unaojulikana kama Chronic Traumatic Encephalopathy (CTE)

Kwenye Filamu hiyo Will Smith anaoneakana akiangaika kuwashawashi watu waelewe ugunduzi wake huo ambao  tayari umeanza kuwaathiri wachezaji wengi wa mchezo huo “NFL”

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment