
Matokeo ya utafiti huo yametolewa leo jijini Dar es salaam ambapo
yameonesha pia kuwa wagombea wa CCM katika ngazi zote ikiwa ni pamoja na
ubunge na udiwani CCM inaongoza. Utafiti huo umeonesha majibu mbali
mbali kama ifuatavyo:
Changamoto kubwa za wananchi

Wananchi wengi wanazikumbuka ahadi za wambunge wao lakini wanadai hazijatekelezwa

Ni asilimia 57 tu ya wananchi walioweza kutaja tarehe sahihi ya uchaguzi wa mwaka huu (25 October)

Wananchi wengi walikerwa na foleni ndefu wakati wa uandikishaji wa vitambulisho vya kupigia kura (BVR)

Endapo uchaguzi ungefanyika leo wananchi wangempigia nani, Udiwani

Endapo uchaguzi ungefanyika leo wananchi wengi wangempigia nani, Ubunge

Endapo uchaguzi ungefanyika leo wananchi wangempigia nani, Uraisi

Chama kilicho karibu zaidi na wananchi

Wananchi waliowengi wanaamini ‘UKAWA’ ni chama cha siasa kilichosajiliwa

Uchaguzi ungefanyika leo, wananchi wangempigia mgombea gani

Magufulu Vs Lowasa wanavyopendwa na makundi mbalimbali, Lowasa
anapendwa zaidi ni wanaume wakati Magufuli anapendwa zaidi na wanawake

Lowasa Vs Magufuli wanavyokubalika na rika/watu wa umri mbalimbali

Lowasa Vs Magufuli anavyokubalika na watu wenye viwango mbalimbali vya elimu

TWAWEZA ni taasisi isiyo ya kiserikali inayofanya uchunguzi kwa
kina katika nyanja mbalimbali hapa Tz na uchunguzi wao ulianza tangu
mwaka 2012, mwaka huu umefanya utafiti wao juu ya uchaguzi mkuu tangu
mwezi wa nane kwa njia ya simu, uso kwa uso, akitoa ufafanuzi huo
Mkurugenzi mtendaji wa Twaweza Aidan Iyekuze
“Utafiti huu sio utabiri wa matokeo ya uchaguzi mkuu, na tulianza kufanya uchunguzi tangu mwezi wa nane mwaka huu na majibu yapo hivi kuanzia nafasi ya:
“Utafiti huu sio utabiri wa matokeo ya uchaguzi mkuu, na tulianza kufanya uchunguzi tangu mwezi wa nane mwaka huu na majibu yapo hivi kuanzia nafasi ya:
UDIWANI :
CCM 60%
Chadema24%
Cuf 2%
Act wazalendo1%
Nccr mageuzi
UBUNGE :
CCm 60%
Chadema 26%
Cuf 3%
Act 1%
Nccr mageuzi 1%
Ukawa 3%
CCM 60%
Chadema24%
Cuf 2%
Act wazalendo1%
Nccr mageuzi
UBUNGE :
CCm 60%
Chadema 26%
Cuf 3%
Act 1%
Nccr mageuzi 1%
Ukawa 3%
URAIS :
CCM 66%
Chadema 22%
Act 0%
Nccr 0%
Ukawa 3%
Utafiti huu tuliufanya kaya kwa kaya.” Aidan Iyakuze
- Eatv.tv / Cloudsfmtz (Instagram)
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya
No comments:
Post a Comment