Monday 7 September 2015

Trey Songz na Davido Wathibitisha Kukamilika Kwa Collabo Yao


Miezi kadhaa toka staa wa Nigeria Davido atoe taarifa kuhusu ujio wa collabo yake mpya ya kimataifa aliyofanya na Trey Songz, sasa inaonekana mzigo umekamilika.
 
Trey na Davido wamethibitisha kukamilika kwa collabo hiyo kupitia tweets zao, na pia Trey ameshare snap chat video.

 
davido trey-1
davido trey-2
davidooo treyyy 
 
Wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zitakazopatikana kwenye album mpya ya Davido aliyopanga kuiachia mwezi huu wa tisa kama tarehe haitabadilishwa tena.
 
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

 

No comments:

Post a Comment