Thursday 3 September 2015

Songa apokea tuzo ya Silver kwa mauzo bora zaidi kwenye mtandao wa Mdundo


 Rapa Songa kutoka Tanzania amepewa tuzo ya  Silver toka Mdundo.com (Kenya) kwa kuweza kufikisha zaidi ya Downloads 100,000 katika mtandao wao. Huu ni mtandao wa muziki Kenya na hulipa wasanii kwa kuweka kazi zao kwenye mtandao huo.

songa 

Huu ndio ujumbe kupitia ukurasa wake wa Instagram
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2015/09/songa-2.jpg 

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:

Post a Comment