Tuesday 8 September 2015

Linex Akanusha Kutoa Wimbo "Because Of You" na Baraka Da Prince, Fahamu Ukweli wote


"hio ngoma nlifanya nkiwa Kahama kwa ajili ya kumsaidia msanii flani ambae anaanza mziki ili apate mwongozo wa jinsi gani ataimba kwenye wimbo wake na nlikuwa na Baraka da Prince so nkaona na yeye aweke sauti yake ili huyu dogo aweze kuelewa atapitaje kwenye ngoma yake maana idea yake ilikuwa kama hii ila akawa hajui namna ya gani ya kupiga vocal nzuri, nashangaa yule producer kaunga zile vocal ametoa kama wimbo wangu na Baraka na kuupa jina "Because of You" , mimi sijatoa wimbo wowote na hio ngoma sio ndomana hata ukiskiliza ipo chini ya kiwango" - Linex.

Zaidi msikilize Linex Akielezea……

Bofya Hapa Kuidownload Clip Hii >> Linex

Bofya Hapa Kudownload Hiyo Ngoma Aliyoikanusha Linex >> Because Of You
 


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

 



No comments:

Post a Comment