Saturday 5 September 2015

Audio | Roma akielezea kuhusiana na ngoma yake mpya 'Viva ROMA Viva' atakayo iachilia Sep 9


Roma amezoeleka kuimba nyimbo ambazo zinakosoa siasa na wanasiasa, Ngoma ambazo zinagusa jamii na kumfungua akili mwananchi. Ngoma hii inamuongelea raisi mtarajiwa, M'buge mtarajiwa na kuwafungua watanzania siku ya kupiga kura ili wajue wanamchagua kiongozi wa namna gani.

Roma anataka kiongozi ambaye anasimamia maendeleo ya taifa la Tanzania, ataondoa ukabila, kulinda kusiwepo kwa udini. Roma anaaminika kwa kuwashawishi wa Tanzania
Msikilize hapa chini na kaa tayari kwa kuipata ngoma hiyo tarehe 9 mwezi huu. 




-tubongetz

Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment