
WhatsApp imeboresha zaidi huduma zake kwa kuongeza baadhi ya vitu ambavyo havikuwepo katika matoleo yaliyopita. Maboresho hayo ni kwa watumiaji simu za Android.
Katika version mpya 2.12.250, sasa mtumiaji wa WhatsApp anaweza
ku-customize notifications kwa mtu mmoja mmoja au kwa kila kundi
alilonalo, ikiwemo vibration length, popup notification, notification
light na call notification tone.
Kingine anaweza kusoma ujumbe na kuurudisha uonekane haujasomwa au
umesomwa kwa kubonyeza kwa muda mrefu bila kuachia chati husika.
Katika version mpya pia zimeongezwa ‘emoji’ mpya ikiwemo ya ‘kidole cha kati’.
Update hiyo sasa inapatikana kwenye Google Play Store.
Update hiyo sasa inapatikana kwenye Google Play Store.
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya



No comments:
Post a Comment