Wednesday, 26 August 2015

Picha | Tattoo mpya ya Chris Brown ilivyokera mashabiki wake


Tattoo hii imegusa na kuker baadhi ya mashabiki wake waliochukulia kitendo hichi kama jambo la kijinga na hovyo.

Cooment kadha zilisema...
{ utajutia tendo hilo baad aya cocaine uliyotumia kutoka kwenye akili yako } 
na nyingine ikisema...
{ kweli ukiwa na pesa nyimngi na huna cha kufanya utafanya mambo ya kijinga }

breezy-tattoo


chris-brown-head-tattoo
Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment