Sunday, 2 August 2015

Coming Soon! Cliff Mitindo Ft Mo Music - Natamani

Msanii Cliff Mitindo Anatarajia kuachia Ngoma Kali Akiwa amemshirikisha Msanii Hitmaker wa Basi Nenda Kutoka Pande Flani za Rock City Mwanza Mo Music Anayetamba na Ngoma ya Nitazoea ,Aidha Kupitia ukurasa Wake wa Face book Lolly pop ambaye ni producer na pia mwandishi wa ngoma kali amawaomba mashabiki kunukuu tarehe ya kuachiwa ngoma hio kwani kazi ni nzuri chini ya production kutoka MINSOUND AUDIO STATION Iliyopo Mwanza Maeneo Ya Ghana


Jiunge Nasi na Huku Pia, Kwa Kubofya

No comments:

Post a Comment