Nasib Abdul aka Diamond Platnumz msanii wa Tanzania ambaye anapendwa na watu wa kilarika, Usiku wa kuamkia leo alikuwa jijini Mwanza kwenye show iliyo andaliwa na Jembe FM iliyo enda kwa jina la Jembeka-Festival.
Watu wa jijini Mwanza walionyesha mapenzi yao kwa Diamond hasa pale walipokuwa tayari wamesha jaza uwanja umesha jaa kabla ya muda wa show kama inavyo onyesha kwenye video hapo juu.
Kwa mapenzi kwa mashabiki wake Diamond akaamua kuwapa show ya kwanza kisha kuelekea kwenye hotel aliyo fikia kabla ya kuwapa show yenyewe usiku wa kuamki leo.
Tizama picha zaidi hapo chini.
Kwa mapenzi kwa mashabiki wake Diamond akaamua kuwapa show ya kwanza kisha kuelekea kwenye hotel aliyo fikia kabla ya kuwapa show yenyewe usiku wa kuamki leo.
Tizama picha zaidi hapo chini.
Na Hii Ndio Video Yake
credit : Tubongetz
FOLLOW US ON
No comments:
Post a Comment