Xxl ya cloudsFM kila mwaka hufanya party ya wanafunzi wote waliofunga shule ikiwa ni pamoja na wa shule ya Msingi,Sekondari,kwa pamoja party hii inaitwa Afta xcul Bash,hii imefanyika December 13 2014 Escape 1 Mikocheni Dar es Salaam.
Miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha hilo akiwemo,Young Killer,Ben Pol,Youg Dee,Vanessa Mdee,Ommy Dimpoz,Stamina,Joh Makini,G Nako,Mr Blue,Madee,Chege Chigunda,Mh.Temba,Quick Rocka,Babu wa Kitaa, na wengineo.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Dj Fetty kutoka XXL Clouds FM .
.
Nickson George,Dj Zero,Adam Mchomvu na Dee Andy wakiwa jukwaani kwenye tamasha la After Skul Bash lililofanyika Des 13 Escape Mikocheni.
Quick ROcka na Young Dee wakitoa burudani .
Ommy Dimpoz akitoa burudani na Dancer wake kwneye tamasha la After Skul Bash.
.
Young Killer na Stamina wakitoa burudani.
.
.
.
Adam Mchomvu kutoka XXL Clouds FM akisherehesha tamasha hilo .
Shabiki akirekodi show ya msanii kwenye tamasha hilo.
ROma Mkatoliki akitoa burudani.
.
.
.

























































No comments:
Post a Comment